JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Mstaafu Karume awakumbusha wafanyabiashara kutoa risiti za kielektroniki

Na Rahma Khamis Maelezo Zanzibar Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume amewataka wafanyabiashara kutoa risiti za kielektroniki na wanunuzi kudai risiti  li kwenda na mabadiliko ya teknolojia. Dkt. Karume ametoa wito huo katika Uwanja wa Maisara wakati akifungua tamasha la tisa la…

NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili uliofanyika Oktoba na Novemba mwaka jana. Akisoma Matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari , leo Januari 4, 2023 jijini…

Wizara ya Ardhi yakusanya bil.90/- za kodi ya pango la ardhi

Wizara ya ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi imekusanya jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 90,907,939,421 sawa na asilimia 75 ya malengo ya nusu mwaka kutokana malimbikizo walikuwa wanadaiwa wananchi ambao walisamehewa riba za malimbikizo ya Kodi za majengo na ardhi….

EWURA yatangaza kuongezeka kwa bei ya dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha…

Pwani yadhamiria kufungua mtandao wa barabara zaidi

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,alhaj Abubakar Kunenge ameeleza nia ya mkoa huo ,ni kuendelea kufungua mtandao wa miundombinu bora ya barabara inayoakisiana na kasi ya uwekezaji iliyopo mkoani humo. Aidha ameeleza, nia ya mafanikio hayo itawezekana endapo…