JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Simba yatinga nusu fainali kwa 5G

Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation kwa ushindi wa 5-1 Ihefu. Mchezo ambao umechezwa Uwanja wa Azam Complex huku ukishuhudia matumizi makubwa ya nguvu kwa wachezaji wa pande zote mbili. Mabao ya Simba yamepachikwa na…

601 wafanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo Iringa

Jumla ya watu 601 wamefanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo katika kambi maalum iliyokuwa ikifanywa na madaktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH)….

Watumishi wa umma watakiwa kufanyakazi kwa ubunifu

Na James Mwanamyoto,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama wametoa wito kwa watumishi wa…

Wafanyabiashara watakiwa kufuata taratibu kuuza mifugo

Na Mwandishi Wetu- Jeshi la Polisi Wafanyabiashara wa mifugo nchini wametakiwa kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa za kununua na kuuza mifugo ili kuepusha changamoto ambazo zinaweza kujitokeza hususani za kununua mifugo ya wizi. Hayo yamesemwa leo Aprili 7,2023 na…

Spika Tulia atoa maagizo kwa Serikali

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson,ameitaka Serikali kupitia Wizara za Afya, TAMISEMI pamoja na Ofisi ya Rais UTUMISHI kuangalia upya utaratibu wa utoaji wa ajira kwa watumishi ikiwa ni pamoja na kutoa kipaumbele kwa watu…