Author: Jamhuri
Majaliwa atoa maagizo sita kwa TAMISEMI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo sita kwa viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI na Umoja wa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri unaohusika na maboresho ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) yatakayosaidia kuboresha utoaji huduma kwa…
Mgonjwa wa Marburg aruhusiwa,hakuna maambukizi mapya
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wamemruhusu mgonjwa mmoja (26) kati ya wagonjwa watatu waliolazwa katika vituo maalum vilivyotengwa kwaajili ya wagonjwa wa marburg baada ya kujiridhisha na hali yake kwa kumfanyia vipimo zaidi ya mara tatu vya ugonjwa huo….
Jafo: Wananchi watunze mlima Kilimanjaro
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa Watanzania kuhifadhi na kuuutunza Mlima Kilimanjaro ili uendelee kuinufaisha nchi. Ametoa wito huo leo Aprili 04, 2023 bungeni Dodoma wakati akijibu swali…
Shada la maua la Makamu wa Rais wa Marekani lawa kivutio Makumbusho ya Taifa
Shada la mauwa aliloweka Makamu wa Rais wa Marekani,Kamala Harris kwenye onesho maalum la kuwakumbuka wahanga wa Bomu la Ubalozi wa Marekani mwaka 1998 lililopo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam, limewavutia wengi na kufanya wageni wa ndani…





