Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, akionesha Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, wakati akiwasilisha Bajeti hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)