Author: Jamhuri
Watoto 11, 347 wapatiwa chanjo ya Polio Kibaha Mjini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri ya Mji Kibaha ambayo imepewa dozi 40,000 ya chanjo ya matone ya kutokomeza polio inatarajia kutoa chanjo hiyo kwa watoto wasiopungua 38,748 kwa awamu hii kwenye Kata 14 na Mitaa 73 inayounda Halmashauri hiyo ambapo tayari…
Prof: Mkenda akutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Singapore nchini
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda leo Septemba 2, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Singapore nchini Bw.Douglas Foo. Katika mazungumzo hayo Tanzania na Singapore zimekubaliana kuboresha ushirikiano zaidi katika sekta ya elimu ikiwemo…
Sendiga: Watumishi tatueni kero za wananchi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rukwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga wametakiwa kushirikiana katika kutatua kero na shida za wananchi ili kuleta ustawi wa mji huo. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga leo Septemba…
Kinana aanza ziara ya kikazi Kagera
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera. Akizungumza mjini Biharamulo mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya siku mbili mkoani Kagera akitokea Kigoma Kinana amesema…
Waziri Mabula awataka wanaonunua ardhi kufanya uhakiki
Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Kibaha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabuka amewataka wananchi wote wanaonunua ardhi kufanya uhakiki kabla ya kununua kupitia ofisi za Halmashauri sambamba na kufanya Search kwa maeneo yaliyo na hati. Dkt Mabula…