JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania yateuliwa kuingia Kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk.Albina Chuwa amesema Tanzania imeteuliwa kuingia kwenye kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa kuanzia mwakani kuungana na nchi nyingine 24 Duniani. Dk.Chuwa ameeleza hayo jijini hapa leo Mei 3,2023 katika ufunguzi…

Rais Mwinyi ataka tasnia ya habari kuweka mkazo kwenye uhuru wa kujieleza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa tasnia ya habari kuitumia fursa ya maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kuweka mkazo kwenye uhuru wa kujieleza ndani ya…

Tume maalumu itasaidia mageuzi sekta ya mifugo na uvuvi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ametoa maombi mawili katika kuboresha sekta ya uvuvi na mifugo moja ikiwa ni kuwa na tume maalum itakayoratibu rasilimali za mifugo kwenye halmashauri. Ombi la pili ni kwa wizara…

TanTrade yapendekeza mkataba wa ruzuku WTO uzingatie wavuvi wadogo

Na David John, JamhuriMedia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imependekeza kuwa mkataba wa ruzuku za uvuvi wa WTO uzingatie wafanyabiashara na wavuvi wadogowadogo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Biashara TanTrade Freddy Liundi jijini Dar es…