JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania kuomba kuwa mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup of Nations) 2027. Rais Samia amesema nchi…

Rais Dkt. Mwinyi akutana na Waziri wa Nishati wa kwenye ziara nchini Qatar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Qatar akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Dk. Samia Suluhu Hassan, mapema leo asubuhi alikutana…

Serikali kuongeza soko la nyama nje

Katika kukuza soko la nyama hapa nchini Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema inadhamira ya kufanya kampeni ya kuchanja mifugo kwa kufuata kalenda ili kuongeza soko la nyama nje ya nchi kutoka tani 12 ya sasa hadi tani…

Rais Samia afanya mabadiliko Ma-RC,DC, wengine atengua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baadhi ya wakuu wa mikoa, uteuzi wa Mkuu wa Mkoa, uhamisho wa Wakuu wa Mikoa na uteuzi wa Mkuu wa Wilaya. Kwa mujibu wa taarifa Mkurugenzi wa…