Author: Jamhuri
Rais awapongeza vijana wa kitanzania kwa kupata medali ya fedha
Rais Dkt. Samia Suluhu Hssan amewapongeza vijana wa Kitanzania walioibuka washindi wa pili na kupata medali ya fedha katika mashindano ya kwanza ya Global Robotics Challenge yaliyofanyika Geneva Uswisi na kushirikisha mataifa zaidi ya 190. Amefarijika kusikia kuwa roboti iliyoundwa…
Mkenda:Msiwafiche ndani watoto wenye mahitaji maalumu
Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao. Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua majengo…
Lyoto Development Foundation kuwanufaisha kiuchumi Kata ya Mzimuni
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Diwani wa Kata ya Mzimuni Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Manfred Lyoto ameanzisha Taasisi ijulikanayo kama Lyoto Development Foundation ili kuhakikisha inatoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wananchi wa kata hiyo ili wafanye shughuli za kujikwamua kiuchumi….
Yanga yaachana na mshambuliajie wake Yacouba Sogne
Klabu ya Yanga imeachana na mshambuliaji wake wa Kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne (31) baada ya nyota huyo kumaliza mkataba wake. Sogne ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwaaga wana Yanga; “Ulikuwa wakati mzuri tangu tulipokuwa pamoja mpaka sasa…
Kamati Kuu CCM yateua wajumbe wapya
Kamati Kuu ya Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeteua wajumbe wapya saba kutoka Tanzania Bara na Zanzibar pamoja na sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). Akitoa taarifa ya kikao hicho leo Januari 14, 2023, Shaka Hamdu Shaka ambaye…
Katibu Mkuu DP aishauri Serikali kuanzisha Wizara ya Umwagiliaji
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokratic Party (DP), Abdul Mluya amemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Wizara Mpya ya Umwagiliaji ambayo itajikita katika kuhakikisha inajibu hoja za sekta ya umwagiliaji. Hayo ameyasema Dar es Salaam Januari…





