JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Baraza la Madiwani Tunduru lamwangukia RC Ruvuma

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma limeazimia kumuita mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kanali Laban Thomas kwenye kikao cha dharula ili wamueleze kero nne zinazoisumbua jamii ikiwemo ya wafugaji ambao inadaiwa kuna…

Bil.8/- kuimarisha mpango wa mafunzo wa madaktari bingwa

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3 za mwaka wa fedha 2021/22, utaosaidia kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza Rufaa za nje ya nchi. Hayo…

Timu ya mawaziri nane yashughulikia migogoro ya ardhi

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Njombe Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka maeneo ya yanayomegwa kwa ajili ya kupatiwa wananchi waliovamia hifadhi yapangiwe mpango wa matumizi ya ardhi na kutolewa hati kwa wamiliki wake. Dkt mabula ametoa…

Upinzani,vyama vya wafanyakazi wampongeza Rais

Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa uamuzi wake wa kuruhusu watumishi wa umma wa zamani walioghushi vyeti vyao walipwe mafao yao waliyochangia kwenye mifuko ya pensheni. Wadau mbalimbali wamesema kuwa Rais Samia ameonesha uongozi wenye sura ya binadamu….