Author: Jamhuri
Wahukumiwa kwenda jela miaka 150
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Watu 5 wamehukumiwa kifungo cha miaka 150 jela baada ya kupatikana na hatia unyan’ganyi wa kutumia silaha katika eneo la Urasa kata ya Mambali wilaya ya Nzega mkoani Tabora. Akitoa hukumu hiyo jana hakimu mkazi wa Mahakama…
Jenista aiasa Tume ya Utumishi wa Umma kusimamia haki
Na Veronica Mwafisi,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama ameiasa Tume ya Utumishi wa Umma kusimamia haki wakati wa kutoa maamuzi ya mashauri ya kinidhamu ya watumishi wa umma…
Serikali yaja na mkakati wa ‘My Dustbin’
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameiagiza Mikoa na Halmashauri kutengeneza mikakati ya kuhakikisha masoko katika maeneo yao yanakuwa safi. Dkt. Jafo ametoa maagizo hayo leo Julai 30,2022 wakati akishiriki zoezi…
Waziri Maliasili afanya ziara ya kikazi TAWA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) zilizopo mkoani Morogoro. Ziara hiyo imelenga kuzungumza na menejimenti na watumishi wa TAWA kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu Mamlaka, ikiwa ni…
‘Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme Rumakali’
Waziri wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mradi wa umeme wa maji ya Rumakali (MW 222) wenye thamani ya shilingi Trilioni 1.4 uliopo wilayani Makete mkoani Njombe ili kuwezesha nchi kuwa na umeme wa kutosha kutoka vyanzo…
Tunathamini mchango unaotolewa na wahandisi wanawake’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango mkubwa unaotolewa na wahandisi wanawake na kwamba inathamini kazi za kihandisi wanazozifanya katika kuchangia ukuaji wa uchumi nchini….