JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Barrick North Mara, wakandarasi wakabidhi msaada wa vifaa Tarime

Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara na wakandarasi wake mgodini wamekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 120 katika Kituo cha Afya Sungusungu kilichopo Nyamongo wilayani Tarime. Hafla ya kukabidhi msaada huo imefanyika katika…

Ihefu yawa mteja kwa Simba

Licha ya Ihefu kuwa bora kwenye mchezo wa leo mbele ya Simba kwenye upande wa umiliki wamekwama kuondoka na pointi tatu. Dakika 90 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Highland Estate unasoma Ihefu 0-2 Simba. Mabao yote mawili yamefungwa na Jean…

Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti…

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu

Kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara namna hii:- Ally Salim yupo langoni, Israel Mwenda, Gadiel Michael kapewa kitambaa cha unahodha Onyango,Kennedy Juma,Ismail Sawadogo, Pape Sakho, Mzamiru Yassin, Jean Baleke, Habib Kyombo, Kibu Dennis

Watu 72 wafa maji Ufilipino kipindi cha Pasaka

Watu 72 wamekufa kwa kuzama kwenye maji tangu mwanzo mwa mwezi huu, huku rekodi ikionesha vifo vingi zaidi vimetokea katika kipindi hiki cha mapumnziko ya siku za Sikukuu ya Pasaka. Kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Polisi la Ufilipino,…