Author: Jamhuri
TAMISEMI Queens yaanza vyema mchezo wa kuvuta kamba SHIMIWI
TAMISEMI Queens wameanza vizuri mechi yao ya mchezo wa kuvuta kamba kwa kuwashinda pointi 2-0 Wizara ya Mambo ya Nje katika mshindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yanayoendelea Jijini Tanga. Mechi hiyo iliyochezwa…
KMC FC yaanza kujifua dhidi ya Ruvu Shooting
Kikosi cha Timu ya KMC FC kimerejea Jijini Dar es Salaam na mazoezi kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa siku ya Ijuma OKtoba 07 katika uwanja wa Uhuru hapa Jijini Dar es Salaam. Timu hiyo ya…
Mtibwa Sugar na Mbeya City nguvu sawa
Wenyeji, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Nickson Kibabage dakika ya kwanza na Jean Papi Matore…
Simba yaichapa Dodoma Jiji 3-0
Klabu ya Simba imeendelea kutoa dozi kwenye Ligi Kuu Tanzania NBCÂ baada ya leo kuichapa Dodoma Jiji Fc kwa mabao 3-0, mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Benjamini Mkapa. Simba Sc imecheza mchezo huo siku chache baada ya kutoka visiwani…