Author: Jamhuri
Polisi Shinyanga wakamata silaha zinazotumika kuendesha uhalifu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekamata Bunduki za Kivita AK47 mbili, za kiraia 27(S\gun 9, Riffle 5 pamoja na Gobole 15 zilizokuwa zinatumika kutendea uhalifu. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumatatu Novemba 21,2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga…
Serikali kutumia Trilioni 1.2 kuboresha elimu ya sekondari nchini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Angellah Kairuki amesema Serikali itatumia takribani Sh trilioni 1.2 katika kuboresha elimu ya sekondari nchini. Kairuki ameyasema hayo wakati wa kuzungumza na wananchi wa Kata ya Kasisi,…
Mpango aitaka TPA kukamilisha miradi yote ya maboresho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) kuhakikisha miradi yote ya maboresho ya bandari ya Tanga inakamilika ifikapo mwezi Aprili 2023 ili bandari hiyo ianze kufanya kazi kwa…
Ajiteka na kuomba milioni 2,Polisi wamdaka akimwagilia moyo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Tumshukuru Kibona (30), Mkazi wa Mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa lengo likiwa ni kutaka kujipatia fedha. Taarifa iliyotolewa na jeshi…
Twitter yamtoa kifungoni Donald Trump
Mmiliki mpya wa Twitter Elon Musk amesema akaunti Twitter ya Donald Trump imerejeshwa baada ya kufanya kura ya maoni ambapo watumiaji waliunga mkono hatua hiyo. “Watu wamezungumza,” aliandika Bw Musk, akisema kuwa 51.8% ya zaidi ya watumiaji milioni 15 wa…





