JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

hospitali ya Mirembe yapewa jina jipya

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Serikali imesema kuwa ina mpango wa kubadili jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe na kuwa Nationa Instute for Mental Health Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika semina maalum…

Ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzini na binti yake

Na Mwamvua Mwinyi,JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemuhukumu Fadhili Hai,(58), Mkazi wa Kwa Mfipa  – Kibaha kifungo cha miaka 40, viboko 12 na kulipa fidia ya Sh milioni 04 baada ya kupatikana na hatia ya kuzini…

Wanafunzi waililia serikali kukikarabati chuo cha afya Songea

Na Cresensia Kapinga, Songea. Serikali kupitia Wizara ya Afya imeombwa kuona umuhimu wa kukifanyia ukarabati chuo cha Afya na Sayansi shirikishi cha Songea ambacho kipo katika hali mbaya kufuatia majengo ya chuo hicho kuwa chakavu. Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi…

Lisu ataka waliompiga risasi kuendelea kutafutwa

Na Dotto Kwilasa, JAMHURI MEDIA, Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Tundu Lissu amefika katika kituo kikuu cha Polisi Dodoma kuona gari alilokuwemo ndani yake wakati akishambuliwa September 7,2017 Jijini hapa eneo la Area D. Ikiwa imepita…

Kumiliki laini ya simu zaidi ya moja ni kosa

Na Bashir Yakub, JAMHURI MEDIA Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo hadi likukute ndipo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria si kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo. Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni…

Serikali kutoa kifuta jasho waliovamia shamba la Utegi Rorya

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Rorya Serikali itatoa fidia ya kifuta jasho cha maendelezo kwa wananchi watakaobainika kuvamia eneo la shamba la Utegi lililopo wilayani Rorya mkoani Mara baada ya kufanyiwa utambuzi. Eneo lililovamiwa lina ukubwa wa hekta 476.52 na kujumuisha vitongoji vya Kibinyongo, Mabatini,…