JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mahakama Kanda ya Kigoma yajitathmini kiutendaji

Na Aidan Robert, JamhuriMedia, Kigoma Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma Mhe. Lameck Michael Mlacha ameongoza kikao cha Menejimenti katika Kanda hiyo kufanya tathmini ya utendaji kazi kwa robo mwaka ya Januari hadi Machi,2023 lengo likiwa…

Aua watu 8 kwa risasi Marekani, naye auawa

“Tulianza kukimbia, watoto walikuwa wakikanyagwa”. Anaeleza Maxwell Gum (16),mfanyakazi wa stendi karibu na eneo ambalo mauaji ya risasi ya watu nane katika jiji la Texas Marekani . Yeye na wengine walijihifadhi kwenye chumba cha kuhifadhia vitu. Mauaji haya yametekelezwa na…

Wananchi wajiandaa kuvamia eneo TFS

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Wananchi zaidi ya 2,000 wa Kijiji cha Nyeburu, Kata ya Chanika, wanajiandaa kuvamia upya eneo lililomegwa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) ili kuendeleza shughuli zao za kila siku, kwa madai serikali imeshindwa kutatua mgogoro…

REA yakutana na wadau wa maendeleo

Wakala wa Nishati Vijijini (REA),katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 umepanga kutumia sh bilioni 784 .84 kati ya hizo Sh bilioni 756.19 ni kwa ajili ya miradi ya umeme vijijini na Sh bilioni 28.65 ni kwa masuala ya uendeshaji…

TCRA:Rukwa kinara wizi wa fedha kwa njia mtandao

Na Wilson Maliama, JAMHURI MEDIA Makoa wa Rukwa umetajwa kuwa kinara wa wizi wa fedha  kwa njia ya mtandao kwenye simu unaofanywa na watu wasio waaminifu huku watumiaji wa mtandao wa Tigo ndiyo wakionekana kuibiwa kwa wingi kuliko mitandao mingine…

Azam FC yaiua kiume Simba nusu fainali

Azam FC imewaua kiume Simba 2-1 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwada Sijaona. Ni Lusajo Mwaikenda dakika ya 22 alianza kupachika bao kwa Azam FC kisha usawa ukawekwa na…