JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kamati ya Bunge ya Bajeti yakagua upimaji mafuta Dar

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara katika maeneo yanayotumika kupakua mafuta kutoka kwenye Meli na kupima katika Bandari ya Dar es Salaam na Kigamboni mkoani Dar es Salaam. Ziara hiyo ilifanyika jana ikiwa na lengo la kujihakikishia…

UPUUZI HUU NI WA BASATA AU LATRA?

Na Joe Beda Rupia Jamhuri Media Hii ni aibu. Aibu kubwa kweli kweli! Kwa hakika ni ujinga unaoachwa kuendelea bila kukemewa. Matokeo yake tunabaki kujificha kwa kufumba macho. Hivi, unaweza kujificha kwa kufumba macho? Nao huu ni ujinga mwingine. Lakini…

‘Tumuenzi hayati Nyerere kwa kupinga rushwa’

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa vitendo ikiwemo kufanya kazi kwa bidii pamoja na kupinga vikali rushwa. Makamu wa Rais…

Serengeti girls waendelea kujifua kuikabili Ufaransa

Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) imeendelea na mazoezi Katika Uwanja wa Utorda Goa India. Serengeti Girls ilianza na mazoezi ya asubuhi katika fukwe zilizopo eneo la Utorda na baadae katika uwanja wa eneo hilo….

Kamati ya mawaziri yajionea uvamizi kwenye chanzo cha maji Katavi

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Katavi Kamati ya Mawaziri wa Wizara za Kisekta imetembelea maeneo ya hifadhi na chanzo cha maji katika mkoa wa Katavi kujionea hali ya uvamizi wa maeneo hayo na kuelekeza wananchi waliovamia maeneo hayo kutofanya maendelezo mpaka hapo timu…