Author: Jamhuri
TPA yajipanga kuhimili ushindani kibiashara
MAMLAKA ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema kuwa ili kuweza kuhimili ushindani katika biashara ya Bandari,imeendelea kuboresha matumizi ya mifumo ya TEHAMA kuondokana na mifumo ya zamani Mifumo katika utoaji huduma za Kibandari. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini…
DAWASA yatenga trilioni 1.029/-kutekeleza miradi ya maji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga sh. trilioni 1.029 kutekeleza miradi ya maji 13 ya kimkakati katika mwaka wa fedha 2022/2023. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini Dodoma na…
Balile:Bado kuna vifungu vya sheria ambavyo ni kandamizi’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF),Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungue vya sheria ya habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho. Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV…
Rais awataka wana-Iringa kuongeza usimamizi masuala ya lishe
Na Englibert Kayombo,JamhuriMedia,Iringa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi katika Mkoa wa Iringa kuongeza usimamizi katika masuala ya lishe bora kwa watoto ili kuwa na watoto wenye afya bora pamoja na rasilimali endelevu kwa…
Waziri Mchengerwa aipa kibarua BASATA
Na John Mapepele,JamhuriMedia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mohamed Mchengerwa ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupitia upya kanuni kwa kuwashirikisha wadau wote wa Sanaa nchini Tanzania ili ziweze kuainisha bayana mfumo mzuri wa ufanyaji kazi unaowashirikisha wasanii binafsi,…