Author: Jamhuri
IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu…
Ruto tayari ni Rais wa Awamu ya Tano Kenya
Dkt.William Ruto ameapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Kenya leo Jumanne Septemba 13,2022 katika uwanja wa Karasani jijini Nairobi. Ruto ameapishwa na Jaji Mkuu Martha Koome kuchukua nafasi ya Uhuru Kenyatta,ambaye amemaliza muda wake wa utawala wa miaka…
‘Haki ya faragha kwa wafunga na wenza wao kutolewa’
Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali ya Tanzania imesema haki ya faragha kwa wafungwa na wenza wao itaanza kutolewa pale ambapo sheria na miundombinu ya magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad…





