Author: Jamhuri
Bei mazao ya chakula yapanda
Bei za jumla za mazao mengi ya chakula zilipanda kwa kiasi kikubwa mwezi Januari mwaka huu ikilinganishwa na mwezi uliotangulia kutokana na kuongezeka kwa mahitaji yake kwenye baadhi ya nchi jirani, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema. Kuongezeka kwa bei…
Faida za mawakala wa benki zaongezeka
Kuongezeka kwa mawakala wa benki kwa zaidi ya mara 30 tangu mwaka 2013 kumesaidia kwa kiwango kikubwa kusogeza huduma za kifedha karibu na wananchi na kuifanya biashara hiyo kuwa chanzo kizuri cha ajira na mapato kwa kaya mbalimbali. Kwa hivi…
Mwandishi akumbuka Ebola ilivyotisha DRC
Wiki iliyopita Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walitangaza kuruhusiwa kutoka hospitalini mtu wa mwisho aliyekuwa ameambukizwa Ebola, ugonjwa hatari ambao umeua maelfu ya watu barani Afrika. Hiyo ni moja ya dalili…
Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo
Siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi. Kutokana na hali hiyo, Bandari imebaini kwamba, kwa kuwa Tanzania inaingia kwenye uchumi wa viwanda kwa kasi, kuna uwezekano kuwa baadhi ya watu wanazalisha…
Ndugu Rais, baba akicheza reggae na wanae kuna ubaya gani?
Ndugu Rais, nianze kwa kuwapa pole wanawema wote walioguswa na yaliyosemwa juu ya andiko langu katika mtandao. Ni kweli sina utaratibu wa kuingia katika mitandao mara kwa mara. Hata hivyo kwa haya yaliyotokea na kwa namna yalivyotokea, yamenifariji sana. Si…
Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Bakwata? (1)
Bakwata ni kifupisho cha Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania, chombo cha kudumu kilichoundwa mwaka 1968 kuratibu, kusimamia na kuongoza shughuli zote za Waislamu nchini Tanzania (Tanzania Bara) kwa lengo la kutekeleza wajibu wa Waislamu wa kuendeleza na kuimarisha itikadi…