Author: Jamhuri
Tanzania yasisitiza amani na usalama mkutano wa ICGLR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi…
Mwigulu aanza kazi rasmi , akomesha vikwazo vya huduma kwa wajawazito
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mwigulu Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya rufani ya Mkoa wa Dodoma na kupiga marufuku tabia ya kuwasubirisha wajawazito mapokezi wakiwa na uchungu wa kujifungua. Ziara…
Miradi ya madini imeleta maendeleo Mara
🔸Zaidi ya Shilingi Bilioni 33.81 zatekeleza miradi ya maendeleo ya jamii MKOA wa Mara umeendelea kunufaika na uwekezaji wa Sekta ya Madini baada ya kutekeleza zaidi ya miradi 398 ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi Bilioni 33.81 katika wilaya zote…
Serikali yalenga kuongeza mapato yasiyo ya kodi kutoka kwa Mashirika ya Umma
Na Mwandishi wa OMH, Dodoma Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itafanya mageuzi ya mashirika ya umma ili kuboresha ufanisi, uwazi na tija. Akihutubia Bunge la Tanzania Ijumaa, Novemba 14,2025, Mhe. Rais alisema serikali inataka kuongeza…





