Author: Jamhuri
Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mafuriko Kenya yafikia 23
Polisi jijini Nairobi wamesema watu 23 wamefariki dunia kufikia sasa,huku uharibifu wa mali, kufungwa kwa baadhi ya barabara pamoja na wakazi wengi kulazimika kuhama makazi yao kutokana na hali hiyo. Aidha zoezi la uokoaji bado linaendelea kufuatia mvua kubwa iliyonyesha…
Naibu Waziri Ndege atoa msaada wa futari na fedha kwa Waislamu Babati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara, Regina Ndege, amekabidhi futari na daku kwa waumini wa kiislamu kwa Madrasa…
Dk Nanauka azindua mitaji ya kuwezesha utekelezaji wa miradi iliyoibuliwa na vijana wa BBT – uvuvi
………………………………………………. Na Hellen Mtereko,Mwanza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka amezindua programu ya kuwezesha mitaji kwa vijana watakaotekeleza miradi ya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba. Hafla hiyo imefanyika leo Jumamosi Machi 07, 2026…
Kikwete : Maendeleo ya kiuchumi hayawezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu
Na Mwandishi Maalum Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema maendeleo ya kiuchumi hayawezi kupatikana bila amani na utulivu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kuhakikisha analinda na kudumisha…
Tanzania yaadhimisha Siku ya Iora kwa kupanda miti Mtumba na kufanya mazoezi mepesi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tanzania imeungana na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi (IORA) kuadhimisha miaka 29 ya kuanzishwa kwa jumuiya hiyo katika hafla iliyofanyika katika mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma ambapo miti ya Matunda na Kivuli imepandwa. Akiongoza maadhimisho…





