Author: Jamhuri
Ustawi wa Jamii yawalipia wagonjwa Muhimbili
Wagonjwa zaidi ya saba waliokuwa wanadaiwa bili za matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamesaidiwa kulipa bili hizo na Idara ya Ustawi wa Jamii. “Jamani ninawaombeni msaada, nisaidieni mimi ni mkulima wa mahindi na muuza mahindi ya kuchoma tu,…
Diwani sahihisha ya Kipilimba
Wiki iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, amefanya mabadiliko katika Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Amemuondoa Mkurugenzi Mkuu, Modest Kipilimba na kumteua aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Diwani…
NINA NDOTO (35)
Imesemwa mara nyingi kwamba afya ni mtaji. Unapokuwa na ndoto kuwa na afya njema ni jambo la tija sana. Usipokuwa na afya njema mara nyingi utatumia muda mrefu kuboresha afya yako kuliko kufanyia kazi zako. Ndoto huhitaji mtu…
Kisarawe imefanikiwa kudhibiti vifo
Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani imepunguza idadi ya vifo vya kina mama wajawazito kutoka vifo 9 hadi 1 kwa mwaka. Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kisarawe, Glason Mlamba, amesema mafanikio hayo yamepatikana baada ya kuona vifo vinaongezeka, wakaanza…
Mugabe aagwa, azikwa
Muasisi wa taifa la Zimbabwe, Robert Mugabe, alizikwa Jumapili iliyopita katika makaburi ya kitaifa mjini Harare. Wafuasi wa Mugabe walipanga foleni kutoa heshima za mwisho siku ya Alhamisi katika Uwanja wa Rufaro mjini Harare. Mke wa Mugabe, Grace, pamoja na…
Marekani yampiga marufuku Jenerali Kayihura
Serikali ya Marekani imempiga marufuku aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi Uganda, Jenerali Kale Kayihura, pamoja na familia yake kuingia Marekani. Marekani ilisema ina taarifa za kuaminika kwamba Kayihura, ambaye alikuwa mkuu wa Polisi wa Uganda kati ya mwaka 2005 na…