Author: Jamhuri
Rais Samia analiunganisha tena taifa
Na Deodatus Balile Leo naomba nianze makala yangu kwa kumnukuu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kauli aliyoitoa baada ya tukio la Septemba 7, 2017 alipopigwa risasi 16, na baadaye akawa kwenye matibabu nje…
Mabilionea wa kimataifa wafaidika na vita
Na Nizar K Visram Vyombo vya habari vimechangamka kutupatia habari za vita ya Ukraine. Hata hivyo, ni nadra kwao kutueleza jinsi matajiri wa kimataifa wanavyotajirika zaidi kutokana na vita hii. Jinsi kampuni zinazotengeneza na kuuza silaha zinavyofurahia na kuishangilia vita…
Kwa nini kigugumizi Ngorongoro, Loliondo?
Hivi karibuni kumezinduliwa sinema ya Tanzania Royal Tour. Ni sinema nzuri ingawa dosari kubwa niliyoiona ni kukosekana kwa vivutio vya utalii vingi zaidi. Mathalani, ni dosari kubwa ya kiufundi kwenye sinema hiyo kutoonyesha nyumbu wanavyosafiri au wakati wakiwa wamejaa na…
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KENYA Ruto apangakufanya aliyoyakataa BBI
MOMBASA Na Dukule Injeni Masilahi ndicho kitu kinachowaleta wanasiasa pamoja na ndivyo ilivyo hususan kipindi hiki ambapo vyama vinaungana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, mwaka huu. Licha ya uwepo wa wagombea huru zaidi ya 40 wanaowania…
Fisi mla watu akamata mtoto wa 28
KARATU Na Bryceson Mathias Mtoto mwenye umri wa miaka minne, Asteria Petro, amejeruhiwa na fisi katika Kata ya Basodawish, Karatu mkoani Manyara, akiwa ni wa 28 kukumbwa na kadhia hiyo, hivyo kuzua hofu miongoni mwa wananchi. Taarifa zinasema kwamba fisi…
Tunajifunza nini kutoka Chadema?
MOROGORO Na Everest Mnyele Wiki iliyopita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewafuta rasmi uanachama wabunge 19 wa Viti Maalumu.Hebu kwanza tujifunze maana ya chama cha siasa. Kwa lugha rahisi, chama cha siasa ni muungano wa watu wenye itikadi moja…





