Author: Jamhuri
Meneja Benki ya Ushirika K’njaro mikononi mwa Takukuru
Sakata la mikopo ya wajasiriamali 4,200 katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, limechukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kumkamata na kumhoji Meneja Mkuu wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL), Elizabert Makwabe. Hatua…
Hongera Magufuli, ila sukari, matrafiki…
Wiki iliyopita nilipata fursa ya kuzungumza na mtu mmoja mzito. Mazungumzo yetu yalikuwa ni kwa maslahi ya Taifa. Tulizungumzia ustawi wa Taifa letu na mwelekeo wa nchi chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli. Mazungumzo yetu yalijaa nia njema,…
Ni vyema Serikali ikajitazama upya
Mwanzoni mwa mwaka jana wakati Watanzania walipokuwa wakisubiri uchaguzi, baadhi ya watu walizungumzia sifa za Rais Watanzania waliokuwa wakimuhitaji. Sifa ya kwanza iliyotajwa ni kuwa Watanzania walikuwa wanamuhitaji Rais dikteta yaani mwamrishaji. Waliotoa maoni hayo walidai kuwa nchi imefikia mahali…
ATC wapewe mkataba wa Swissport
Air Tanzania ndilo Shirika la Ndege la Taifa (national flag carrier) ambalo linastahili kumiliki huduma zote muhimu katika Viwanja vya Ndege vyote vya Tanzania, lakini hali iko kinyume. Huduma zinazotolewa katika viwanja vya ndege ni pamoja na miziggo (Cargo handling),…
Majangili yateketeza Hifadhi
Athari za kupunguza maeneo ya Hifadhi Mchanganuo wa faida za maeneo yaliyohifadhiwa na zile za ufugaji yanaonesha wazi kuwa hifadhi ya maliasili ni sekta muhimu, pana na mtambuka. Sekta hii ndio msingi wa kuwapo kwa maendeleo ya sekta nyingine nyingi…
Tuendeleze demokrasia (1)
Juzi juzi hapa, wakati naangalia runinga matangazo ya BBC, kulikuwa na majadiliano makali katika Bunge la Uingereza. Kule kwanza kumetokea kashfa ile ya Panama. Nyaraka za Kampuni ya Mossack Fonseca zilizowataja vigogo waliokwepa kodi nchini kwao, na kupeleka fedha zao…