JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kuna kazi ngumu

Serikali ya Hispania imefanya mabadiliko ya sheria ya haki za matangazo ya uonyeshaji wa mechi za soka kupitia vituo vya runinga. Ilipofika mwaka 2016, timu zote za Hispania zilikuwa na haki sawa kwenye suala la malipo ya haki za mechi…

Timu ikishinda ya wote, ikifungwa ya kocha

Mashabiki wa Liverpool wanaita ‘The Miracle of Istanbul” (muujiza wa Istanbul). Ni miaka 20 ilikuwa imepita tangu timu hiyo ilipotwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya mwaka 1985. Mhispania Rafael Benitez anawapa kombe hilo katika fainali dhidi ya AC Milan mwaka…

Kashfa NIDA

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inakabiliwa na kashfa nzito inayohatarisha usalama wa nchi kutokana na uamuzi mbovu walioufanya hivi karibuni; uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kashfa hii imetokana na masilahi binafsi, kiburi cha viongozi, kupuuza wataalamu, weledi mdogo wa baadhi…

Zitto hatihati

Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, yumo kwenye hatihati ya kurejea nchini kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuhofia maisha yake. Kama hilo litafanyika, Zitto atakuwa amefuata nyayo za mwasiasa machachari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),…

Ofisa Ardhi wilaya matatani kwa rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kilimanjaro imemfikisha mahakamani Ofisa Ardhi wa Wilaya ya Hai, Wilbert Mayila, kwa tuhuma za kudai na kupokea rushwa ya Sh milioni moja kutoka kwa ofisa wa jeshi mstaafu ili amsaidie kupata…

Mvua zawatesa wakazi Mkuranga

Mvua kubwa zilizonyesha siku za hivi karibuni zimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu katika Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Barabara kadhaa, madaraja na nyumba za watu vimeharibiwa na mvua hizo, Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Mshamu Munde, amesema wakati akizungumza na JAMHURI…