Author: Jamhuri
LIVERPOOL, MAN CITY: Nani atashinda nini msimu huu?
LONDON England Yamebaki mataji matatu yanayoshindaniwa kwa sasa England; timu mbili kubwa, Liverpool na Manchester City zote zinayahitaji. Swali ni nani atashinda nini na kujiandikia historia? Kiungo wa zamani wa Liverpool, Danny Murphy, anachambua. Inaonekana kana kwamba wiki chache za…
Ewura ilivyojipanga kutatua kero huduma ya maji 2025
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita Tanzania iliungana na dunia kuadhimisha Wiki ya Maji ambapo maadhimisho hayo yalifanyika Mkoa wa Pwani kwa uzinduzi wa mradi wa maji Mlandizi – Mboga – Chalinze huko Msoga na baadaye kitaifa Dar…
Mheshimiwa Rais tuwekeze zaidi vijijini
DAR ES SALAAM NA DK. FELICIAN B. KILAHAMA Ni jambo la kumshukuru Mungu aliye muweza wa yote kwa kutujalia uhai na afya njema baada ya kutimiza mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Akiwa Makamu wa Rais, aliapishwa…
Umuhimu wa kuwa na Katiba ya umma madhubuti
Morogoro Na Everest Mnyele Wiki iliyopita tulizungumzia umuhimu wa kuwa na Katiba mpya ya umma. Ninajua kuwa kuna wataalamu wengi wameandika juu ya umuhimu wa kuwa na katiba thabiti ya umma. Nia yangu ni kuendelea kusisitiza umuhimu wa kuwa na…
KARIBU MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI Funga ya Ramadhani chuo cha tabia njema
Leo Jumanne Machi 29, mwaka 2022 ni sawa na tarehe 26 Shaaban (Mwezi wa 8 kwa Kalenda ya Kiislamu inayoanza Mwezi Muharram – Mfungo Nne) Mwaka 1443 Hijiriyya (toka kuhama kwa Mtume Muhammad –Allah Amrehemu na Ampe Amani – kutoka…
Upandaji miti unahitaji wigo mpana zaidi
Miongoni mwa vichocheo vinavyoongeza tishio la ukame na mabadiliko ya tabia nchi linaloikumba dunia kwa muda mrefu sasa ni ukataji holela wa miti na uharibifu wa mazingira, hususan misitu. Ongezeko la ukataji miti ni tatizo kubwa kwa dunia na hata…





