Author: Jamhuri
Nafsi inapenda mambo mazuri na matamu
Nafsi ya binadamu inapenda mambo mazuri na matamu inapojionyesha na kujipambanua mbele ya nafsi nyingine za wanadamu, lakini ina mtihani mkubwa wa kutawaliwa na ushetani katika kufanya mambo mabaya na machungu, hivyo kuondoa heshima na thamani ya nafsi. Nafsi hupata…
Yah: Nina tabia ya kukumbuka mambo ya zamani tu
Sijui ni kwanini leo nimeamua kuandika waraka huu, najua wapo ambao watakumbuka kama mimi, tulipotoka ni mbali, hilo halina ubishi, lakini leo naona ni kama sekunde tu kuyakumbuka na ndiyo maana hata kutoa salamu naona kama nitakuwa nawapotezea muda. Najihisi…
Sarri bado ‘yupo yupo’
Mashabiki na wapenzi wa Chelsea wanashindwa kumuelewa Kocha wa timu yao, Mtaliano Maurizio Sarri (Garimoshi), kutokana na timu hiyo kushindwa kufanya vizuri katika mechi zake za hivi karibuni. Chelsea imeanza kusuasua katika mzunguko huu wa pili wa ligi katika mechi…
Aeleza alivyoua watoto Njombe
Kabrasha linaanza kufunguka juu ya nani anahusika na mauaji ya watoto mkoani Njombe huku ikithibitika kuwa ndumba, uchawi, ukimwi na ujinga vimekuwa nguzo ya mauaji hayo, JAMHURI limebaini. Ni wiki mbili sasa tangu matukio ya mauaji ya watoto wasiopungua saba…
Ubabe wa wachuuzi
Mpita Njia (MN) yapo mambo anamkosoa Rais Magufuli, lakini yapo mengine – tena mengi – anayokubaliana naye. Waswahili walisema mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Kazi inayofanywa sasa katika maeneo mbalimbali nchini inatia fora. Kumjaza sifa zilizopitiliza kunaweza kumfanya abweteke,…
Mjomba amtia mimba mpwawe (2)
Wiki iliyopita Gazeti la JAMHURI liliandika habari kuhusu binti wa shule anayedaiwa kutiwa mimba na mjomba wake. Hapa chini ni mwendelezo wa mahojiano ya wahusika wa tukio hilo. Endelea… Saimoni anasema kisa hicho kimetengenezwa na mama yake mzazi ili kukwamisha…


