JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Matokeo utafiti wa habari yawe changamoto

Wiki iliyopita Taasisi ya utafiti ya Spurk Media Consulting Ltd ya Uswisi kwa kushirikiana na Baraza la Habari Tanzania (MCT), imetangaza matokeo ya utafiti wake uliohusu ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari nchini kwa mwaka 2018. Matokeo ya utafiti huo…

Nina ndoto (7)

Wakati kampuni ya Coca Cola inaanza iliuza chupa 25 tu za soda ndani mwaka mzima! Hii inaonyesha kuwa kila mwezi waliuza takribani chupa mbili za soda. Najua umeshangaa maneno niliyoanza nayo hapo juu, lakini hiyo ni historia ya kweli. Leo…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (2)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kusema kuanzisha biashara ni sawa na kujenga nyumba. Nyumba iliyo bora inapaswa kuwa na ramani. Na si ramani tu, bali hesabu za vifaa vitakavyotumika. Hii itakuwezesha kujua utatumia saruji mifuko mingapi, nondo ngapi, mabati…

Vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau (1)

Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu, hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionyesha kuwa idadi ya wanaume…

Sheria za kilimo za sasa za kikoloni – Mgimwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mahamoud Mgimwa, amesema kuwa sheria za kilimo  zilizopo kwa sasa  nchini ni za  tangu ukoloni na hazina tija yoyote kwa mkulima wa kawaida, na kwamba kinyume chake sheria hizo humuumiza…

Utafiti: Gazeti la JAMHURI kinara ubora wa maudhui 2018

Gazeti la JAMHURI linalochapishwa na kusambazwa siku ya Jumanne kila wiki nchini na nchi jirani Afrika Mashariki, limeongoza dhidi ya vyombo vingine vyote vya habari Tanzania Bara na Zanzibar vilivyohusishwa kwenye utafiti wa ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari…