Author: Jamhuri
Nyasa yazizima,John Nchimbi achukua fomu kugombea ubunge
-Mamia wamsindikiza kwa ngoma, vifijo na nderemo -Aaahidi kushirikiana na watia nia wote kuijenga Nyasa -Awataka Wananchi kuunga mkono juhudi za kuleta maendeleo Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC Mapema leo Agosti 26, 2025 mgombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia Chama…
Dkt. Asha-Rose Migiro akabidhiwa Ofisi kama Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Dkt. Asha-Rose Migiro amepokelewa rasmi katika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)akiwa Katibu Mkuu huku akimefungua ukurasa mpya katika historia yake ya uongozi kwa kuwa Katibu Mkuu mpya Mwanamke. Ikumbukwe kuwa tangu kuanzishwa kwa CCM mwaka…





