Author: Jamhuri
Balotelli aichanganya Italia
…Ageuka pia kuwa shujaa barani Afrika
Mapema mwaka huu, Mario Balotelli aliachwa katika timu ya taifa ya Italia (Azzurri) iliyocheza na Marekani Jumamosi, Februari 29, lakini Alhamisi iliyopita ghafla aliichanganya Italia alipoipeleka kucheza mechi ya fainali za Euro 2012 hapo juzi, Jumapili, dhidi ya Hispania mjini hapa.
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Waislamu wenye akili hawa hapa
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa wale tuliotoa wito kwa wapendwa ndugu zetu Waislamu, kuwapuuza kina Sheikh Ponda na mwenzake Kundecha – ambao kila mara wamekuwa vinara wa migogoro na kuibua mambo yasiyo na tija kwa Waislamu na Watanzania.
Habari mpya
- 12 wafariki katika ajali ya ndege pwani ya Kenya
- Uthamini wa fidia mradi wa SGR kipande cha sita Tabora – Kigoma waendelea kwa kasi
- Mbeya waimarisha ulinzi na usalama
- Minara 741 kati ya 758 ya mawasiliano vijijini inatoa huduma
- Kuna maisha baada ya uchaguzi
- Soma gazeti la Jamhuri Oktoba 28 – Novemba 3, 2025
- Mgeja awapa angalizo Watanzania, Dk Samia anatosha
- Kihongosi : Ilani ya CCM imebeba matumaini ya Watanzania
- Viongozi wa dini waendelea kihimiza amani uchaguzi mkuu
- Rais Samia awasili Mwanza kufunga kampeni
- NCCR Mageuzi wahamasisha amani, mshikamano kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29
- Watoto yatima Tabora wamwombea dua Dk Samia
- Watumishi wa Umma waaswa kushiriki uchaguzi wa Oktoba 29
- Kunenge -Hakuna atakayetishwa, jitokezeni kupiga kura
- Ado Shaibu afanya mazungumzo na mama lishe