Author: Jamhuri
Agizo alilotoa RC Tabora kwa ‘mchwa’ hawa watalitekeleza?
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa, amezitaka Halmashauri za Wilaya mkoani humo kuhakikisha hazipati hati chafu za ukaguzi wa fedha za serikali, vinginevyo wakurugenzi watendaji na watumishi katika ngazi hizo wasioweza kutekeleza agizo hilo waache kazi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
Habari mpya
- Mgeja awapa angalizo Watanzania, Dk Samia anatosha
- Kihongosi : Ilani ya CCM imebeba matumaini ya Watanzania
- Viongozi wa dini waendelea kihimiza amani uchaguzi mkuu
- Rais Samia awasili Mwanza kufunga kampeni
- NCCR Mageuzi wahamasisha amani, mshikamano kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29
- Watoto yatima Tabora wamwombea dua Dk Samia
- Watumishi wa Umma waaswa kushiriki uchaguzi wa Oktoba 29
- Kunenge -Hakuna atakayetishwa, jitokezeni kupiga kura
- Ado Shaibu afanya mazungumzo na mama lishe
- TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa katika mikoa minne
- Kishindo cha Badru chaanza NCAA
- Bila uamuzi mgumu Ngorongoro itakufa
- Kibunda cha bilioni 426.5 kuwanufaisha wanafunzi 135,240 awamu ya kwanza
- Kikwete : CCM si chama cha maneno maneno bali ni chama cha vitendo
- Bei elekezi ya madini ya vito kuchochea ukuaji uchumi – CPA Kasiki

