Author: Jamhuri
Balotelli aichanganya Italia
…Ageuka pia kuwa shujaa barani Afrika
Mapema mwaka huu, Mario Balotelli aliachwa katika timu ya taifa ya Italia (Azzurri) iliyocheza na Marekani Jumamosi, Februari 29, lakini Alhamisi iliyopita ghafla aliichanganya Italia alipoipeleka kucheza mechi ya fainali za Euro 2012 hapo juzi, Jumapili, dhidi ya Hispania mjini hapa.
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Waislamu wenye akili hawa hapa
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa wale tuliotoa wito kwa wapendwa ndugu zetu Waislamu, kuwapuuza kina Sheikh Ponda na mwenzake Kundecha – ambao kila mara wamekuwa vinara wa migogoro na kuibua mambo yasiyo na tija kwa Waislamu na Watanzania.
- Wananchi Ruvuma waiomba Serikali kuimarisha miundombinu ya barabara
- Makamu wa Rais Ndejembi atoa maelekezo kuhusu bei ya sementi
- Jubilee Life Insurance yazindua bidhaa tatu mpya za bima ya maisha
- PBPA Yawawezesha Mama Lishe Kurasini kuhamia Nishati Safi ya kupikia
- Serikali yaimarisha mikakati kukuza sekta ya viwanda
Habari mpya
- Wananchi Ruvuma waiomba Serikali kuimarisha miundombinu ya barabara
- Makamu wa Rais Ndejembi atoa maelekezo kuhusu bei ya sementi
- Jubilee Life Insurance yazindua bidhaa tatu mpya za bima ya maisha
- PBPA Yawawezesha Mama Lishe Kurasini kuhamia Nishati Safi ya kupikia
- Serikali yaimarisha mikakati kukuza sekta ya viwanda
- Ndembeji Anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Tano la Uchumi wa Bluu
- NMBF yafungua maombi ya ‘Nuru ‘Yangu’
- Serikali yaimarisha miundombinu ya umeme Igunga – Salome
- Mawasilisho 294 kupigiwa kura Samia kalamu Awards 2026.
- Makamu wa Rais ataka bei ya saruji ishuke haraka
- Sekta binafsi injini ya Tanzania kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
- TANESCO Ubungo yawabaini wateja waliochepusha umeme kupitia vishoka
- FCC yawataka wafanyabiashara kuripoti bidhaa bandia
- Sumaye : Watanzania kukutana kuliombea Taifa
- Tanesco Ubungo yanasa waliojiunganishia Umeme kinyume na utaratibu