Waokoaji wakipambana kulinyanyua busi lilopata ajali
Baadhi ya Watu waliofika kwenye eneo la ajali
Namba ya Bus lililopata ajali

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.

By Jamhuri