JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Sababu Happy, Beka kutengana zaelezwa

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Wimbo ‘Nimpende’ wa msanii Ibra unatajwa kuwa sababu ya kutengana kwa wapenzi wawili, Happy Reuter na Beka Flavour. Akizungumza na JAMHURI jijini Dar es Salaam, msanii wa filamu na michezo ya kuigiza, Happy, anasema…

Chameleon adaiwa kutumia uchawi

TABORA Na Moshy Kiyungi Eti mmoja wa wanamuziki mashuhuri Afrika Mashariki, Jose Chameleon, hutumia nguvu za giza kujiimarisha kiutajiri na umaarufu. Tuhuma hizi nzito zinaelekezwa kwa mkali wa muziki wa ragga na raia wa Uganda, mtu wa kwanza kuzitoa akiwa…

Machozi… Albamu iliyompaisha Lady Jaydee

TABORA Na Moshy Kiyungi Judith Wambura, maarufu kama Lady Jaydee, Jide, Komandoo au Binti Machozi ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa kike nchini. Msanii huyu ana kipaji na uwezo mkubwa wa kutunga na kuimba nyimbo zenye ujumbe mzito kwa jamii…

MK Group na ngoma za maghorofani

*Ilikommbolewa na Miraji Shakashia akiwa shule ya msingi  TABORA Na Moshy Kiyungi Kuna wanaodai kuwa muziki wa dansi umekufa kwa kulinganisha na ilivyokuwa miaka ya 1960 na 1990. Wakati huo karibu kila mji ilikuwapo bendi ikitoa burudani kwa wakazi wa…

Rosa Ree azungumzia magumu ya mkataba

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Mwanamuziki wa ‘hip hop’ na rapa maarufu nchini, Rosary Robert a.k.a Rosa Ree, amesema ubovu wa mazingira ya kazi umemfanya avunje mkataba na lebo moja ya Afrika Kusini. Rosa Ree ameliambia JAMHURI kuwa mkataba…

ANNA MWAOLE… Miaka 56 bado anapiga muziki

TABORA Na Moshy Kiyungi Miaka 50 ni utu uzima na kuna watu wanapofikisha umri huo huchoka. Lakini hali hiyo haipo kwa Anna Mwaole, mkongwe wa muziki mwenye umri wa miaka 56 sasa. Ni mwanamuziki aliyepita katika bendi na vikundi mbalimbali,…