JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

‘Serengeti Festival yabadili sura Bongo Fleva’

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Mwishoni mwa wiki jijini Dodoma lilifanyika tamasha kubwa la Serengeti, lililofanikiwa kukata kiu ya mashabiki na wapenzi wa Bongo Fleva kwa siku mbili mfululizo (Jumamosi na Jumapili). Tamasha hilo limefanyika katika msimu wa pili…

Jane: Harmonize ni mtoto wa Mungu

Dar es Salaam Na Christopher Msekena Omoyo ni miongoni mwa kadhaa nchini ambazo tangu kuwekwa kwake hadharani hazijawahi kuchuja.  Wimbo huo uliotoka zaidi ya miaka 10 iliyopita umeendelea kuwa burudani na baraka kwa mamilioni ya watu kwenye maeneo ya starehe,…

Profesa Jay anastahili heshima hii

Dar es Salaam Na Christopher Msekena Wiki chache zilizopita zimekuwa mbaya kwa rapa gwiji nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, ambaye amekuwa akipatiwa matibabu ya maradhi yanayomsumbua katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Licha ya kuwapo kwa ufaragha wa familia kuhusu kinachomsumbua…

MIRABAHA… Mwanzo mzuri, sanaa nyingine zifikiriwe

Dar es Salaam Na Christopher Msekena Mamia kwa maelfu ya wasanii wa muziki nchini wameufungua mwaka 2022 kwa kicheko wakipokea gawio (au mirabaha) ya kazi zao kutoka serikalini kupitia Chama cha Hakimiliki (COSOTA). Katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar…

STEVE WONDER… Mkongwe mwenye ukwasi mkubwa

Tabora Na MoshyKiyungi Hoja kwamba ulemavu si tija na kwamba mlemavu akipewa nafasi anaweza, huenda ikachukuliwa kama mpya miongoni mwa jamii. Wapo walemavu kadhaa waliofanikiwa kimaisha na kuwa mfano wa kuigwa kwa jamii katika fani mbalimbali, ikiwamo muziki. Mmoja wapo…

Miaka 43 ya kifo cha Mbaraka Mwinshehe

TABORA Na Moshy Kiyungi Miongoni mwa wanamuziki maarufu zaidi kuwahi kutokea nchini na kutikisa anga la muziki Afrika ni Mbaraka Mwinshehe Mwaluka. Huenda kwa sasa ameanza kusahaulika lakini ukweli ni kwamba nyimbo zake kadhaa alizotunga au kuimba miaka ya 1970…