Category: Burudani
Miaka 9 tokea kifo cha Michael Jackson, kuna haya ya kuyafahamu
Miaka tisa tokea dunia ipate taarifa za kifo cha mfalme wa muziki wa Pop duniani Marehemu Michael Jackson ambaye alifahamika duniani kote kutokana na upekee aliokuwa nao katika uchezaji pamoja na nyimbo zake ambazo zilipendwa na watu wengi ulimwenguni. Marehemu…
MSANII WA DK. SHIKA ATOA VIDEO YA WIMBO
Msanii ambaye anasimamiwa na Dk. Shika A.KA mia 900 itapendeza, Godson ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Relax’ ambao amemshirikisha Beka Flavour, video imeongozwa na Kwetu Studio.
Felix Wazekwa alitumia ndumba kuvuta mashabiki wa muziki
MOSHY KIYUNGI Félix Wazekwa ni mwanamuziki mwenye mbwembwe wakati akiwa jukwaani, akiimba huku akiongoza safu ya wanenguaji. Mtindo wa unenguaji wanaoutumia ni wa aina yake, ambao haulingani na mitindo mingine yoyote ya wanamuziki wa huko Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo…
ALIKIBA AJIPAMBANUA KUMFUNGA SAMATTA JUMAMOSI
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ (kushoto) akiwa na mcheza soka aliyeko Afrika Kusini, Uhuru Selemani, wakiongea na wanahabari leo Uwanja wa Taifa, Dar. MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba …
Mr Nice Karudi tena kwenye game, Sikiliza Ngoma yake Mpya “Wanabaki Hoii”
Msanii mkongwe wa muziki, Mr Nice ameachia video yake mpya ya wimbo, ‘Wanabaki Hooii’ akiwa katika muonekano tofauti kabisa. https://youtu.be/KBuFmDxkzqo
Ndoa ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ Hatari
Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle. MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji maarufu wa Marekani, Meghan Markle. Harry akiwasalimia mamia ya watu…





