Category: Burudani
Fally Ipupa anatamba kwa muziki wa Kongo
NA MOSHY KIYUNGI Tabora Sifa za mwanamuziki Fally Ipupa zimeenea kila pembe kuliko na wapenzi wa muziki wa dansi. Yeye pamoja na mwenzake, Ferre Golla; wanatajwa kuelekea kuchukua nafasi za wanamuziki wakubwa waliomtangulia. Hawa ni wanamziki vijana wanaotamba katika anga…
Sikiliza Nyimbo mpya ya Ali Kiba “Mvumo wa Radi”
Msanii Ali Kiba ameachia video ya wimbo mpya unaojulikana kwa jina la Mvumo wa Radi
Sokous Stars inavyochachafya
NA MOSHY KIYUNGI Tabora Kundi la wanamuziki wa Soukous Stars limekuwa likifanya vyema pindi wanapopata mchongo popote pale Duniani. Hawa ni wanamuzikia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huishi katika nchi tofauti duniani, kila mmoja huko aliko anayo shughuli…
NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA
Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.
Diamond Ampa Hongera AliKiba
Mwanamuziki Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz amemtumia salamu za pongezi mwanamuziki mwenzake, Ali Saleh Kiba maarufu Alikiba kufuatia kufunga ndoa leo Aprili 19. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa anampongeza King Kiba kwa kuoa na kumtakia maisha mema ya…
Diamond, Nandy Bado hakijaeleweka
Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana amewasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa ajili ya mahojiano kutokana na tuhuma za kusambaza katika mitandao ya kijamii video isiyokuwa na maadili. Msanii huyo anatuhumiwa kusambaza video inayomuonyesha akiwa…





