MAMA MOBETO AMTUPIA KIJEMBE KIAINA MAMA ESMA

MAMA mzazi wa Mwanamitindo maarufu Bongo Hamisa Mobeto, Shufaa Lutigunga amefunguka kuwa hayuko tayari kuolewa na “Serengeti Boy” wakati watu wazima wenzie wapo, kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni kumchana mama Esma aliyeolewa hivi karibuni na kijana mwenye umri mdogo kulinganisha na yeye. Mama Mobeto alisema kuwa, sasa hivi ameshakuwa mtu mzima na ni bibi mwenye…

Read More

Mwaka 2018 Utakuwa wa Maajabu Tasnia ya Filamu Nchini.

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephan Maarufu JB ametabiri kuwa tasnia ya Bongo Movie itafanya vizuri mwaka 2018 kutokana na maandalizi mazuri yaliyofanywa mwaka 2017. Muigizaji huyo mwenye vituko vingi, amedai wasanii wengi wamefanya maandalizi makubwa katika kufungua kampuni za kusambaza filamu pamoja na kuzipeleka filamu kwenye majumba ya sinema. “Mwaka 2018 itakuwa nzuri zaidi…

Read More

Mzanzibar Ashinda Tuzo ya Turner Prize

Profesa Lubaina Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye ni mtanzania ametangazwa kuwa mshindi wa ‘Turner Prize 2017’katika tuzo kubwa za Sanaa nchini Uingereza. Majaji wamempa Tuzo kwa maonesho matatu yaliyofanyika Oxford, Bristol na Nottingham ambapo waliisifu kazi yake ambayo inaangazia Afrika duniani kote pamoja na ubunifu wa mtu mweusi jambo ambalo wameliita namna nzuri ya…

Read More