Category: Burudani
Vanessa Mdee shinda Tuzo Ya ‘Nyota Wa Mchezo’
Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy akimkabidhi Tuzo ya ‘Nyota Wa Mchezo’, Mwanamuziki, Vanessa Mdee maarufu Vee Money. Vanessa Mdee amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kupokea Plaque ya ‘Nyota Wa Mchezo’ baada ya kutajwa kama ‘Nyota wa Mchezo’ kwenye vipengele vya BestFemaleAct, BestPerformer, BestLiveAct…
ZARI THE BOSS LADY ANASA NYENDO ZA DIMOND PLUTNUM
Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekena Tunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao. Zari the boss lady ambaye ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz…
WASANII ZAIDI YA 400 KUTUMBUIZA KATIKA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2018
Kila mwaka katika mwezi Februari, maelfu ya mashabiki wa muziki kutoka katika kila pembe ya dunia wanakusanyika katika eneo la Ngome Kongwe, Mji Mkongwe kuonja ladha ya kipekee ya muziki wa Kiafrika katika Tamasha la Sauti za Busara. Tamasha hili…
BAADA YA KUNUNUA NYUMBA AFRIKA KUSINI DIAMONDA SASA KUNUNUA NYUMBA RWANDA
Diamond amewauliza mashabiki wake wa Rwanda ni sehemu ipi ambayo ni nzuri kwa ajili ya makazi. Kupitia ukursa wake wa Instagram muimbaji huyo wa WCB wameandika; am looking for a property to buy in Kigali My future new home for…
Diamond Ashinda tuzo ya Soundcity MVP Nigeria
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameshinda tuzo kutoka Kituo cha Runinga cha Soundcity. Muimbaji huyo ameshinda katika kipengele cha Best Male MVP ambapo alikuwa akichuana na wasanii wengine kama Davido, RunTown, Olamide, Wizkid, 2Baba (2face) wote kutoka Nigeria na…
VIDEO QUEEN KIDOA APORWA GARI NA BWANA WAKE
Muuza sura ashuhuri Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kupokonywa gari aina ya Subaru na mwandani wake ambaye ni kigogo wa serikali baada ya kushindwana tabia. Taarifa kutoka kwa chanzo kilicho karibu na mrembo huyo zimeeleza kuwa, Video queen huyo licha…