JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Featured

WIKI YA MAJI, Rais Samia alivyoitoa Wizara ya Maji kutoka kuwa kero na lawama hadi faraja

Na: Dk. Reubeni Lumbagala Maji ni miongoni mwa huduma muhimu ya kijamii. Maji ni huduma ambayo kila mtu anahitaji tena kila siku. Utahitaji maji kwa kuoga, kupikia, kufulia, kupigia mswaki, kunyweshea mifugo, kumwagilia maua au bustani. Mambo yanayohitaji maji ni…

Waziri Nanauka kurunzi jipya kwa vijana

Na Byarugaba Innocent, OR-MV Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote. Ni nchi yenye utajiri mwingi kuanzia amani iliyopo. Aidha, rasilimali watu, ardhi yenye rutuba, madini, mbuga za Wanyama, vyanzo vya kudumu vya maji ikiwemo bahari, maziwa, mito na…

Utunzaji sahihi wa nyaraka na kumbukumbu ni msingi wa taifa imara – Majaliwa

UTUNZAJI sahihi wa nyaraka na kumbukumbu ni uti wa mgongo wa uwajibikaji, historia, na utawala bora kwani bila masjala madhubuti, Taifa letu lingeweza kukabiliwa na changamoto kubwa za upotevu wa taarifa, ucheleweshaji wa maamuzi, na hatimaye kurudisha nyuma juhudi za…

Misamaha, unafuu wa kodi chanzo mapato ya ndani kupotea

Na Gerald Malekela, JamhuriMedia, Iringa Katika juhudi za kukuza uchumi, Tanzania imekuwa ikitarajia sera na mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuongeza pato la taifa. Miongoni mwa mikakati hiyo ni utoaji wa misamaha au unafuu wa kodi na juhudi za kuongeza…

Jokate Mwegelo: Kutoka Miss Tanzania, Muigizaji, DC hadi Katibu Mkuu UWT

Na Isri Mohamed Jamhuri Media Dar es Salaam. Oktoba 01, Chama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana katika kikao chake maalumu  jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake na Rais Samia Suluhu Hassan imemteua…

Wananchi wajiandaa kuvamia eneo TFS

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Wananchi zaidi ya 2,000 wa Kijiji cha Nyeburu, Kata ya Chanika, wanajiandaa kuvamia upya eneo lililomegwa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) ili kuendeleza shughuli zao za kila siku, kwa madai serikali imeshindwa kutatua mgogoro…