Category: Featured
From representation to results: How President Samia is redefining women’s diplomacy in Africa
By Ellen Azaria Maduhu, JamhuiMedia, Dodoma Every year on June 24, the world marks the International Day of Women in Diplomacy, a day established by the United Nations in 2022 to recognize the contribution of women in diplomacy, peacebuilding, conflict…
Jinsi Samia anavyoibadilisha Pwani kuwa kitovu kipya cha uchumi Tanzania
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Miaka iliyopita, Mkoa wa Pwani ulionekana zaidi kama eneo linalozunguka Jiji la Dar es Salaam, lakini leo unaanza kujijenga upya kama kitovu cha uwekezaji, viwanda, biashara na usafirishaji nchini kutokana na utekelezaji wa miradi mikubwa…
Tanzania inavyojiandaa kuvuna matunda ya AFCON 2027
Na John Walter, JamhuriMedia, Manyara Mwezi Juni mwaka 2027 utaingia kwenye historia ya Tanzania kwa maandishi yasiyofutika kirahisi. Kwa mara ya kwanza tangu kupata uhuru, Tanzania itakuwa mwenyeji wa mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika, Kombe la Mataifa ya…
Serikali inavyohamasisha jamii kutumia fursa ya taka kusafisha mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, uzalishaji wa taka ngumu nchini ni takriban tani milioni 14.4 hadi 20.7 kwa mwaka ikiwa ni sawa na kilogramu 0.66…
Maboresho mfumo kodi na maendeleo tuyatakayo
Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Juhudi za kujiletea maendeleo zinategemea sana ufanisi wa ukusanyaji kodi kutoka kwa wananchi. Wizara, taasisi na vitengo mbalimbali wanaweza wakakaa chini kupanga, kujadili na kuja na mipango mingi mizuri ya maendeleo lakini itakapofika kipengele cha…
SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI; Huduma bora za TMA zaing’arisha Tanzania kimataifa
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taarifa sahihi na za wakati za hali ya hewa ni nyenzo muhimu katika kufanya maamuzi ya kimkakati na kufanikisha maendeleo endelevu ya nchi yetu. Kwa kutambua umuhimu huo mkubwa katika sekta mbalimbali kama…





