JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Benki Kuu yatangaza kupanda kwa riba mpya kutoka asilimia 5.5 hadi 6

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Saalam Benki Kuu ya Tanzania (BOT), kupitia kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza kupanda kwa Riba mpya ya Benki Kuu yaani (Central Bank Rate-CBR) kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya…

Wajasiliamali wadogo wazalishe bidhaa zenye ubora kuendana na ushindani soko la ndani na nje : Mchatta

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KATIBU Tawala Mkoani Pwani Rashidi Mchatta ,ametoa rai kwa wajasiriamali wadogo kuzingatia uzalishaji wa bidhaa kitaalam na zenye ubora ili kukuza biashara zao na kuinua uchumi wa mkoa huo. Mchatta ameyasema hayo wakati akikabidhi vyeti…

Benki ya NMB yafuturisha wabunge na watoto wenye mahitaji maalum Dodoma

Tunapoendelea na mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB imepata nafasi ya kujumuika na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na watoto wenye mahitaji maalum Dodoma kupata futari ya pamoja. Mgeni Rasmi katika hafla hii alikua…

DCEA yakamata dawa mpya za kulevya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA), imekamata kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa za kulevya inayoitwa methylene dioxy pyrovalerone (MDPV), iliyokamatwa Dar es Salaam ikisafirishwa na raia wa Comoro…

Waziri Mchengerwa : Ma -RC, DC kikaangoni, mikopo ya vikundi

Na Projestus Binamungu, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema kiongozi yeyote katika mamlaka za serikali za mitaa atakayebainika kuunda kikundi hewa kwa lengo la kujifaidisha na fedha za…

TARURA yadhamiria kuimarisha mtandao wa barabara kwa asilimia 85

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ina lengo la kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika kwa asilimia 85 ili kuinua uchumi na kuwezesha huduma za kijamii kwa wananchi ifikapo mwaka 2025/2026. Hayo yamesemwa na…