Category: Habari Mpya
Vijana waandamana Kenya
Kundi la vijana limeandamana mjini Nairobi, Kenya leo Juni 20, 2024 kuishinikiza serikali kufuta mapendekezo ya muswada wa sheria ya kodi, ambao wanadai hauna tija kwa wananchi. Vijana hao wamedai muswada huo haukushirikisha wadau wengi wakiwemo wanasiasa, ili uweze kujadiliwa…
DC Magoti atembelea mradi wa uwekezaji wa Visegese Kisarawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyi pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya kwa ajili ya kujadili maendeleo ya Mradi wa…
Benki ya TCB yatangaza faida ya bilioni 19.27/-
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022…
RC Kunenge aipongeza Mafia kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi
Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia, Mafia Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi. Kunenge ameyasema hayo katika kikao cha kujadili hoja za CAG kilichofanyika wilayani…





