Category: Habari Mpya
TFS kuendelea kuwachukulia hatua wanajihusisha na ujangili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wakala ya Huduma za Misitu Tanzania (TFS) inaendelea kuwachukulia hatua wale wote watakaojihusisha na unajangili wa mazao ya misitu kwa kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa Sheria. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,…
Rais Samia asaini miswada minne kuwa sheria za uchaguzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameidhinisha miswada ya sheria minne ili iweze kuwa sheria. Akilitaraifu Bunge la 12 Mkutano wa 15 mjini Dodoma leo , Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema katika mkutano wa…
TARURA Kagera yafungua barabara mpya Km. 826
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kagera imefanikiwa kufungua mtandao wa barabara mpya wa Km. 826 katika kipindi cha miaka mitatu kutokana na ongezeko la bajeti. Hayo yamebainishwa na Meneja wa…
Bima ya afya kwa wote mwarobaini utekelezaji sera ya wazee
….……… Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu ya utekelezaji wa Sera ya wazee kupata matibabu bure katika kila Kituo cha Afya nchini. Dkt. Mollel…
Serikali yataja sababu ya kufuta leseni maduka ya fedha
Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha…
Waziri Mkuu azindua mbio za mwenge wa uhuru 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi ya Dawa za Kulevya kwani yanaharibu nguvukazi ya Taifa hasa vijana ambao wanategemewa kuongoza kufanya shughuli za uzailishaji na kuharakisha maendeleo Ametoa wito huo leo (Jumanne Aprili 2, 2024) katika…





