JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania mwenyeji kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika

Na Mwandishi wetu NCHI ya Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGe-C10) ambapo takribani washiriki 1000 kutoka mataifa mbalimbali wanatarajiwa kushiriki . Kongamano hilo litafanyika kuanzia Novemba 11 hadi 17, 2024 katika Kituo cha Mikutano…

Mbarawa aridhishwa na majaribio ya safari ya treni ya SGR kipande cha Dar hadi Moro

Na Jumanne Magazi Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema ameridhishwa na ujenzi na majaribio ya safari ya treni ya mwendokasi maarufu SGR, kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro. Ameyasema hayo leo Machi 18, 2024,…

Raia wa Burundi, DR Congo wanaswa kwa kuishi bila vibali

Polisi mkoani Kigoma kwa kushirikiana Idara ya Uhamiaji imewakamata watu 86  kutoka nchi za Burundi na Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo wakiwa wanaishi na kufanya kazi nchini bila vibali. Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu akitoa taarifa kwa waandishi…

Mtoto wa miaka 8 ajinyonga, kisa ugomvi wa wazazi wake

Na isri Mohamed, JamhuriMedia, Manyara MTOTO wa miaka nane, mwanafunzi wa darasa la pili wa shule ya msingi Maisaka mjini Babati mkoani Manyara, amekutwa amejinyonga kwa kutumia mkanda juu ya mti wa mstafeli uliopo nje ya nyumba yao. Taarifa za…

Watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya wakamatwa Arusha

Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu….