Category: Habari Mpya
UVCCM Dodoma yawaandaa vijana Uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma KATIBU wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Dodoma Mjini Isack Ngongi amewataka vijana kuungana kuhakikisha chama kinashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Ngongi ameyasema hayo leo…
Halmashauri Kuu CCM yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Bwawa la Umeme JHPP
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imefanya kikao Maalum tarehe 15 Januari, 2024, Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Katibu Halmashauri Kuu ya…
Mnyeti : Maafisa mifugo nendeni kwa wafugaji, acheni kuwa wakusanya mapato
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Dodoma Maafisa mifugo nchini wametakiwa kufanya kazi za udaktari wa mifugo walizosomea na kuwatembelea wafugaji badala ya kuwa wakusanya mapato wa halmashauri. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti amebainisha hayo mjini Dodoma wakati akizindua…
Waziri Mhagama : Endeleeni kulinda amani, mshikamano wa Taifa letu
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Njombe Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kuzilinda tunu za umoja wa kitaifa za utulivu, amani na ushirikiano. Rai hiyo…





