Category: Habari Mpya
Dalili 10 za mwanaume anayekupenda kweli
Miongoni mwa mambo yanayowatesa mabinti wengi ni kutokujua ni mwanaume gani hasa anayempenda kwa dhati, kwa sababu kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na ‘tapeli’. Ungana na mimi mwandishi wako Isri Mohamed Anakuweka karibu na Mungu…
Taasisi za umma Kongwa zahimizwa kuwa na mipango ya matumizi ya ardhi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon Mayeka amezielekeza Taasisi za Umma Wilayani Kongwa kuwa na mipango ya muda mrefu ya matumizi ya ardhi, itakayowezesha uhifadhi wa mazingira. Aidha amewataka wananchi kushiriki kwenye shughuli za…
Waziri Mkuu aongoza kikao cha 10 cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege Zanzibar, jana Januari 15,…
Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile atembelea banda la TPA
Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA limeendelea kuwa kivutio kwa watembeleaji wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Zanzibar yanayoelekea ukingoni. Mbali na unadhifu wa Banda linalopambwa na picha kubwa za Bandari mbalimbali, kivutio kingine ni mifano…
Kamishna Mabula afanya ukaguzi wa karakana ya kisasa Manyoni, atoa maelekezo
Na Mwandishi wetu, JakhuriMedia, Manyoni Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya magari na mitambo iliyojengwa Kanda ya Kati ya TAWA wilayani Manyoni, karakana inayotajwa…





