Category: Habari Mpya
Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wake
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato MKAZI wa kijiji cha Katale Buzirayombo Wilayani Chato mkoani Geita,Hassan Ramadhan (29) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na mwanaye ya kike mwenye umri wa miaka 12…
Mvua za El Nino ni sababu ya ongezeko la mamba Kasahunga na Mayolo – DC Bunda
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Bunda Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Vicent Anney amesema mvua za El Nino zimekuwa sababu kubwa ya ongezeko la wanyamapori aina ya mamba ambao wamekuwa wakitoka maeneo yao ya asili na kwenda maeneo ya wananchi…
Wanandoa mahakamani kwa kujeruhi jirani
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Februari 19,2024 inatarajia kuanza kusikiliza kesi ya kujeruhi vibaya na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwani (Maarufu ka Chiku wa Songea) (57), na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54), ambao…
Wenyeviti vyama vya upinzani Dodoma walaani mpango wa maandamano CHADEMA
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Zikiwa zimesalia siku tano kufanyika kwa maandamano ya amani yanayoratibiwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya wadau wa Demokrasia nchini,baadhi ya Vyama vya upinzani mkoani hapa vimelaani maandamano…
TEF yawafariji waathirika Kilosa
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), leo limekabidhi msaada wa kiutu kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro yaliyotokea hivi karibuni. Msaada huo wa vyakula na nguo za watoto na wakubwa umewasilishwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jukwaa…





