Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa mikoa mitatu ya Unguja kwenye mkutano wa majumuisho ya ziara yake kichama uliofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 18 Januari, 2024. 

By Jamhuri