Category: Habari Mpya
Wakazi Tabora, Mara watakiwa kujitokeza kwenye majaribio ya uboreshaji taarifa za wapiga kura
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora TUME ya Taifa ya uchaguzi imewataka wakazi wa Mikoa ya Tabora na Mara kujitokeza kwa wingi kwenye majaribio ya uboreshwaji taarifa za wapiga kura kwenye mfumo ili kufanikisha zoezi hilo kwa asilimia 100. Wito huo…
Rais Samia atimiza ahadi, wachimbaji wadogo wapatiwa maeneo ya uchimbaji Singida
Wachimbaji wadogo wa eneo la uchimbaji wa madini la Sekenke,Wilaya ya Iramba Mkoani Singida leo wamepatiwa Leseni za uchimbaji na uchenjuaji wa Madini. Zoezi la kukabidhi Leseni hizo limefanya na Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde leo katika eneo la…
Biteko kushiriki sherehe za kumpongeza Askofu Mkuu Ruzoka
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Tabora ambapo kesho atashiriki katika Sherehe za kumpongeza Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu Paul R. Ruzoka na kumtakia matashi mema Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali…
Mahafali ya 21 Taasisi ya Uhasibu Tanzania Kampasi ya Singida yafana
Na Dotto Mwaibale, JamhuriMedia, Singida SHEREHE za Mahafali ya 21 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Singida imemalizika huku idadi kubwa ya wanawake ikizidi kuongezeka mara dufu ikilinganishwa na idadi ya wanaume. Kwa mujibu wa taarifa ya taasisi…
TEF yatembelea ofisi za tatu mkoani Lindi
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limefanya ziara katika ofisi tatu za Mkoa wa Lindi, kutoa shukrani kwa ushirikiano walioupata wakati wa Mkutano Mkuu wa Saba wa jukwaa hilo uliofanyika mkoani humo. Maofisa wa jukwaa hilo walitembelea katika Ofisi ya Mkurugenzi…





